SERIKALI KUWEKEZA KATIKA MAKAZI YA KUWATUNZA WAZEE

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Zainab Chaula akimsikiliza Afisa Mfawidhi wa Makazi ya Wazee Fungafunga yaliyopo Mkoani Morogoro Bi. Rehema Kombe wakati alipotembelea na kukagua huduma zinazotolewa katika makazi hayo. Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Zainab Chaula akikagua bustani